Karibu, ingia kwenye akaunti yako

Ona hasara na maendeleo ya kampuni yako, ukiwa umeingia kwa usalama.

Huna akaunti bado? Jisajili hapa
Imeunganishwa โ€” data inahifadhiwa moja kwa moja

Muhtasari wa Hasara

Jumla ya hasara zilizobainika kutoka sekta zote, pamoja na makadirio ya mapato yako kama Loss Recovery Partner.

Hasara โ€” Maduka Makubwa
TSh 0
bidhaa 0 hatarini
Hasara โ€” Viwanda
TSh 0
upotevu wa uzalishaji + downtime
Hasara โ€” Ugavi
TSh 0
uharibifu ghalani
Hasara โ€” Madeni Chechefu
TSh 0
madeni 0 hatarini
Jumla ya Hasara Mwaka
TSh 0
sekta zote pamoja
Mapato Yako Yanayokadiriwa
TSh 0
kwa ada uliyochagua

๐Ÿ“… Ripoti ya Kila Siku

Ripoti hii inajiandaa kiotomatiki kila siku ukitumia data uliyoingiza โ€” mauzo, manunuzi, matumizi, na hali ya stock ya kila bidhaa. Pakua wakati wowote unaohitaji, au uwapatie wafanyakazi wapakue kila mwisho wa siku.

Mauzo ya Leo
TSh 0
Manunuzi ya Leo
TSh 0
Matumizi/Malipo ya Leo
TSh 0
Bidhaa Zinazokaribia Kuisha Muda
0

๐Ÿ“‹ Muhtasari wa Faida na Hasara (Kiotomatiki)

Mfumo unaunganisha mauzo, manunuzi, matumizi, na hasara zote kukupa faida halisi ya biashara yako.

Jumla ya MauzoTSh 0
(โˆ’) Jumla ya ManunuziTSh 0
(โˆ’) Jumla ya Matumizi/MalipoTSh 0
Faida Ghafi (Operesheni)TSh 0
(โˆ’) Jumla ya Hasara Iliyobainika (sekta zote)TSh 0
FAIDA HALISITSh 0

Faida Halisi = Mauzo โˆ’ Manunuzi โˆ’ Matumizi โˆ’ Hasara zote zilizobainika. Hii ndiyo hali halisi ya biashara yako baada ya kuzingatia upotevu.

Ada Yako ya Success Fee

Chagua asilimia utakayotoza kwa hasara uliyobaini na kuisaidia kuziba (kawaida 10โ€“30%).

20%

Ripoti ya PDF

Pakua ripoti kamili ya uchambuzi huu kuwasilisha kwa mteja wako au kuihifadhi kama kumbukumbu.

Mgawanyo wa Hasara kwa Chanzo

Linganisha ni wapi hasara nyingi zaidi inatoka.

Ingiza data kwenye Maduka Makubwa au Viwanda ili kuona mgawanyo.

๐Ÿ“ˆ Mwenendo wa Hasara kwa Muda

Jinsi jumla ya hasara yako inavyobadilika mwezi hadi mwezi. Data mpya inaongezwa kiotomatiki unapohifadhi mabadiliko.

Bado hakuna historia ya kutosha โ€” endelea kutumia mfumo kwa miezi kadhaa kuona mwenendo hapa.

Maduka Makubwa โ€” Upotevu wa Bidhaa

Ingiza stock ya mfumo na stock halisi kwa kila bidhaa, pamoja na bei ya manunuzi na mauzo. Mfumo unahesabu tofauti, hasara ya moja kwa moja, na faida iliyopotea kiotomatiki.

๐Ÿท๏ธ Bei za Bidhaa Dukani

Orodha kamili ya bidhaa zote zilizopo dukani na bei zake za mauzo โ€” kwa ajili ya wafanyakazi kurejelea wakati wa mauzo, hata kama bidhaa hiyo haifuatiliwi kwenye jedwali la upotevu wa bidhaa hapa chini.

BidhaaBei ya Mauzo (TSh)Bei ya Manunuzi (TSh)
2%
BidhaaStock MfumoStock HalisiBei Manunuzi (TSh)Bei Mauzo (TSh)Tarehe ya MwishoTofautiHasara (TSh)Faida Iliyopotea (TSh)Hali

๐Ÿงฎ Kaunta ya Mauzo

Mteja anaponunua bidhaa nyingi kwa pamoja, mfanyakazi anaziongeza hapa moja baada ya nyingine, na mfumo unakokotoa jumla ya kulipa kiotomatiki.

Ongeza Bidhaa Kwenye Kikapu

๐Ÿ›’ Kikapu cha Mteja

BidhaaKiasiBei/KipimoJumla
Kikapu ki tupu โ€” anza kuongeza bidhaa hapo juu.
JUMLA ANAYOTAKIWA KULIPA MTEJA
TSh 0

๐Ÿ“ Oda za Wateja

Rekodi maombi ya wateja kabla ya kukamilisha mauzo โ€” mfano oda za kuchukua baadaye, kiasi kikubwa, au bidhaa maalum. Ukiwa tayari kumkabidhi mteja, bofya "Kamilisha" ili iingie kwenye Mauzo ya Kila Siku moja kwa moja.

Oda Mpya
0
Zinazoandaliwa
0
Tayari Kuchukuliwa
0
Thamani ya Oda Wazi
TSh 0

Tengeneza Oda Mpya

Ongeza Bidhaa kwenye Oda

BidhaaKiasiBei/KipimoJumla
Bado hakuna bidhaa kwenye oda hii โ€” ongeza hapo juu.
Jumla ya Oda: TSh 0

Oda Zote

Namba Mteja Bidhaa Jumla Tarehe ya Kuwasilisha Hali Aliyeongeza
Hakuna oda zilizowekwa bado.

Viwanda โ€” Uzalishaji na Downtime

Ingiza taarifa za kila run ya uzalishaji na kila tukio la downtime.

Upotevu wa Uzalishaji (Yield Loss)

Kwa kila run, ingiza malighafi iliyoingia na bidhaa halisi iliyozalishwa.

Jina la Run/BidhaaMalighafi (kg)Bidhaa Iliyozalishwa (kg)Bei/Kg (TSh)Upotevu %Hasara (TSh)Hali

Downtime ya Mitambo

Ingiza kila tukio la mitambo kusimama na gharama ya saa moja ya uzalishaji uliopotea.

Tukio / MtamboMasaa ya DowntimeGharama/Saa (TSh)Hasara (TSh)

Ugavi โ€” Uharibifu wa Malighafi/Bidhaa Ghalani

Ingiza bidhaa au malighafi iliyoharibika ghalani (kuoza, kuisha muda, uharibifu wa usafirishaji, unyevu, n.k). Mfumo unahesabu thamani ya hasara kiotomatiki.

Bidhaa/MalighafiKiasi KilichoharibikaKipimoBei/Kipimo (TSh)Hasara (TSh)

Madeni Chechefu โ€” Malipo Yanayochelewa

Ingiza madeni ya wateja ambayo hayajalipwa. Mfumo unabainisha kiotomatiki madeni yaliyopitiliza muda (hatarini ya kutolipwa kabisa).

60
Jina la Mteja MdaiwaKiasi cha Deni (TSh)Siku Zilizopita TareheHali

๐Ÿ“’ Mauzo na Manunuzi ya Kila Siku

Wafanyakazi wanajaza mauzo, manunuzi, na malipo kila siku. Boss anaona muhtasari na maelezo yote hapa.

Jumla ya Mauzo
TSh 0
rekodi zote
Jumla ya Manunuzi
TSh 0
rekodi zote
Jumla ya Malipo
TSh 0
serikali + binafsi
Faida Ghafi
TSh 0
mauzo โˆ’ manunuzi โˆ’ malipo

Mauzo ya Kila Siku

Kila mfanyakazi anaongeza mauzo ya siku husika hapa.

TareheBidhaaKiasiBei/Kipimo (TSh)Jumla (TSh)Aliyeongeza

Manunuzi ya Kila Siku

Sehemu hii inaonekana kwa boss pekee โ€” bei za ununuzi na gharama za malighafi ni siri ya biashara.

TareheBidhaa/MalighafiKiasiBei/Kipimo (TSh)Jumla (TSh)Aliyeongeza

Malipo (Serikali / Binafsi)

Kodi, leseni, umeme, pango, na malipo mengine yoyote โ€” ya serikali au binafsi.

TareheMaelezoAinaKiasi (TSh)Aliyeongeza

๐Ÿ“ˆ Faida kwa Wiki na Mwezi

Mfumo unachanganua kiotomatiki data yako ya mauzo, manunuzi, na malipo kuonyesha faida ya kila kipindi. (Boss pekee anaona sehemu hii.)

Faida kwa Wiki (wiki 8 za karibuni)

WikiMauzoManunuziMalipoFaida

Faida kwa Mwezi (miezi 12 ya karibuni)

MweziMauzoManunuziMalipoFaida

โญ Wateja Wote

Muhtasari wa hasara na mapato ya ada kutoka kwa wateja wako wote kwa pamoja.

Idadi ya Wateja
0
walioingia mfumoni
Jumla ya Hasara โ€” Wateja Wote
TSh 0
sekta zote pamoja
Jumla ya Mapato Yako
TSh 0
ada za success fee pamoja

Kila Mteja kwa Undani

Bofya "Onyesha upya" ukiongeza mteja mpya au data mpya. Bofya safu ya mteja yeyote kuona undani wake kamili.

Barua Pepe ya MtejaJumla ya Hasara (TSh)Ada %Mapato ya Ada (TSh)Ufikiaji

๐Ÿงพ Ankara na Malipo

Sanidi maelezo yako ya malipo, tengeneza ankara kwa wateja, na fuatilia hali ya malipo.

Maelezo Yako ya Malipo

Haya yataonekana kwenye kila ankara utakayotengeneza, NA pia kwa mteja yeyote ambaye muda wake wa majaribio/malipo umeisha (ili ajue wapi pa kulipa).

๐Ÿ“ฆ Vifurushi vya Malipo

Weka vifurushi vinne vya bei tofauti ambavyo mteja atachagua wakati wa kulipia. Hivi vitaonekana kwa mteja yeyote ambaye muda wake wa majaribio/malipo umeisha.

๐Ÿ“จ Madai ya Malipo Yaliyotumwa na Wateja

Wateja waliobonyeza "Nimelipa" wataonekana hapa. Thibitisha kwenye benki/simu yako kwanza kabla ya kumfungulia kupitia "Wateja Wote".

TareheMtejaKifurushiChanzo
Hakuna madai bado.

๐Ÿ†˜ Ujumbe wa Msaada kutoka kwa Wateja

Ujumbe ambao wateja wametuma kupitia kitufe cha "Msaada" kwenye mfumo wao.

TareheMtejaUjumbeHali
Hakuna ujumbe bado.

โš ๏ธ Ripoti za Hitilafu za Kiotomatiki

Mfumo unaripoti hitilafu za kiufundi zinazotokea kwa wateja kiotomatiki โ€” hata kama hawajakuambia. Hii inakusaidia kubaini na kutatua matatizo mapema.

TareheMtejaUkurasaHitilafu
Hakuna hitilafu zilizoripotiwa โ€” hongera!

Ankara Zote

Bofya "Imelipwa/Haijalipwa" kubadilisha hali. Bofya "Pakua PDF" kupata nakala tena.

Namba ya AnkaraMtejaTareheKiasi (TSh)Hali

Mpango wa Kudhibiti Hasara

Baada ya kubainisha hasara, chukua hatua. Chagua mapendekezo ya kitaalamu hapa chini au ongeza mkakati wako binafsi, kisha fuatilia maendeleo.

Mapendekezo ya Kudhibiti kwa Sekta

Bofya "+ Ongeza kwenye mpango" kuweka pendekezo lolote kwenye orodha yako ya vitendo.

Mpango Wangu wa Vitendo

Fuatilia hatua unazochukua kuziba hasara zilizobainika.

KitendoSektaTarehe ya MwishoHali
Umeingia kwa usalama. Data yako inaonekana kwako pekee.