Mfumo wa biashara wa Tanzania unaobaini hasara
Loss Recovery Partners (LRP) ni mfumo wa biashara wa Kitanzania wenye makao Dar es Salaam. Unamsaidia mfanyabiashara kuona pesa inapopotea: kwenye stoo, mauzo, madeni, manunuzi, kodi na usafiri.
💬 WhatsApp 0612 085 882Jaza fomuIngia / Jisajili
Unachoweza kufanya na LRP
- Stoo na bidhaa: kufuatilia hesabu, bidhaa zinazoisha na zinazokaribia kuisha muda.
- Mauzo, risiti na madeni ya wateja na wasambazaji.
- Kodi: VAT 18%, wateja wenye na wasio na VRN, na ulinganisho wa mauzo, EFD na benki kwa ajili ya ritani.
- Kupakia taarifa za benki na mitandao ya simu (PDF, Excel, CSV, picha au SMS).
- Wafanyakazi na mahudhurio, CRM ya wateja watarajiwa.
- Usafirishaji: magari, madereva, safari na mafuta, kwa biashara yoyote yenye magari yake.
- Huduma kwa wateja kwa SMS kiotomatiki.
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Loss Recovery Partners (LRP) ni nini?
LRP ni mfumo wa biashara wa Kitanzania unaosaidia kubaini na kudhibiti hasara. Unaunganisha stoo, mauzo, manunuzi, madeni, risiti, kodi (VAT na ritani), wafanyakazi, usafirishaji na huduma kwa wateja mahali pamoja.
LRP inafaa biashara za aina gani?
Maduka (rejareja na jumla), viwanda, wasambazaji, kampuni za huduma, kampuni za usafirishaji (logistics), na biashara zenye magari yao wenyewe.
Mfumo unasaidiaje kodi ya VAT na ritani za TRA?
Unahesabu VAT ya 18%, unatofautisha wateja wenye VRN na wasio na VRN, na unalinganisha mauzo ya mfumo, ripoti za EFD (Z-report) na taarifa za benki au mitandao ya simu. Unaweza kupakia taarifa hizo kama PDF, Excel, CSV, picha au SMS.
Naweza kujaribu bila kulipa?
Ndiyo. Kuna siku 30 za majaribio bure. Wasiliana nasi kwa WhatsApp au jaza fomu ili uanze.
Napataje msaada au maelezo zaidi?
Piga simu 0749 488 769, WhatsApp 0612 085 882, au barua pepe lossrecoverypartnerztz@gmail.com. Ofisi iko Dar es Salaam, Tanzania.
Naweza kutumia mfumo kwenye simu?
Ndiyo. Mfumo unafanya kazi kwenye simu na kompyuta kupitia kivinjari, na unaweza kuuweka kama app kwenye simu (Install app / Add to Home screen).
Wasiliana nasi
Simu: 0749 488 769 · WhatsApp: 0612 085 882 · Barua pepe: lossrecoverypartnerztz@gmail.com · Dar es Salaam, Tanzania · Instagram: @loss_recovery_tz
English summary
Loss Recovery Partners (LRP) is a Tanzanian business management web app based in Dar es Salaam. It covers inventory, sales, receipts, debts, VAT and tax-return reconciliation (EFD, bank and mobile-money statements), HR, CRM, fleet and logistics, and automated customer-care SMS. A 30-day free trial is available. Contact: WhatsApp +255 612 085 882 or lossrecoverypartnerztz@gmail.com.